Viwanda vya chakula & vinywaji , cosmetics, pia mara nyingi hutumika kama quality control & Quality assurance. Pia baadhi yaviwanda au wauzaji wa chemical huwaajiri kwa lengo vyeti vyao vitumike kuingiza chemical kutoka nje ya nchi.
Wengine wataongezea.