Ajira za askari 10,000 Kenya, mwanamke afariki wakati wa mazoezi magumu wakati wa recruitment

Ajira za askari 10,000 Kenya, mwanamke afariki wakati wa mazoezi magumu wakati wa recruitment

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Kenya nchi nzima katika county mbalimbali kumeendelea mazoezi makali kwa vijana wanaojitokeza kutaka kulitumikia jeshi la polisi....

Wamekuwa wakikaguliwa, miili, urefu, AFYA na kufanya mazoezi magumu,

Leo Dada mmoja alianguka na kuzimia kisha kifo chake kufuata wakati WA kukimbia mchaka chaka, juhudi za kumuokoa hazikuwezekana.....

Picha vijana wengi WA kikenya wasio na ajira wamejitokeza kujiunga na jeshi,,,, wengi wamepigwa chini kwa kukosa vyeti ama kuleta vyeti feki

nots.jpg


pol2.jpg
 
Bahati mbaya sana tena mno!
Pole nyingi kwa familia ilokuwa inasubiri kuona mtoto wao anapata ajira.
 
Mbona wapo neked sasa hao wadada
 
Back
Top Bottom