Aisee punguzeni mazoezi mazito, ona sasa mmepuguza kiburudisho
Swahiba kipi kilichokuchekesha?Hahahahah
Daaah, wewe nini kinakupa raha hivi?? Hivi mambo ya Kenya yashakuchanganya kabisaHahahahah
Sio mazoezi magumu.....Njaa mbaya ndo zinawaondoa taratibu
Hahahahah