Ajira za Bachelor of Health Systems Administration and Management zipoje?

Ni nzuri ajira zake ni katibu wa afya wa hospitali, katibu wa afya wilaya/mkoa na NGO zinazohusika na mambo ya afya!
 
Kumbe hyo kozi ya mochwari.. Iko poa lakini ila lazima uwe na moyo mgumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…