Kwa wastani kila wiki huwezi kukosa matangazo kibao magazetini ya hawa jamaa wakitangaza Kazi. Hivi ni kweli kuna watu wanaitwa huko au ni changa la macho?

Poleni sana rafiki zangu ukweli ni kwamba ni CHANGA LA MACHO. Nina rafiki anafanay kazi huko na ni manager mwajiri, Anasema wanalazimika kufanay hivyo hili serekali ionekuwa wnatoa ajira kwa watanzania kwani serekali yetu vivu yenyewe inakuwa inakusanya tu magazeti na matangazo mwisho wa siku ina sema kuwa waweklezaji wameajiri watu 1000 kwa mwaka huu au uliopita. Mimi niliambiwa siku ikiwa ya kweli nitaambiwa nitume maombi ila nyingi zina zotangazwa nizipotezee kwani ni kujisafaisha tu mbele ya serekali.Kwa wastani kila wiki huwezi kukosa matangazo kibao magazetini ya hawa jamaa wakitangaza Kazi. Hivi ni kweli kuna watu wanaitwa huko au ni changa la macho?
kweli nchi ya ahadi kufika wengi watabaki inaa maana serikali inapingwa shanga la macho mmmh hii ni hatari sana na inaumizaa sanaPoleni sana rafiki zangu ukweli ni kwamba ni CHANGA LA MACHO. Nina rafiki anafanay kazi huko na ni manager mwajiri, Anasema wanalazimika kufanay hivyo hili serekali ionekuwa wnatoa ajira kwa watanzania kwani serekali yetu vivu yenyewe inakuwa inakusanya tu magazeti na matangazo mwisho wa siku ina sema kuwa waweklezaji wameajiri watu 1000 kwa mwaka huu au uliopita. Mimi niliambiwa siku ikiwa ya kweli nitaambiwa nitume maombi ila nyingi zina zotangazwa nizipotezee kwani ni kujisafaisha tu mbele ya serekali.
Kwa wastani kila wiki huwezi kukosa matangazo kibao magazetini ya hawa jamaa wakitangaza Kazi. Hivi ni kweli kuna watu wanaitwa huko au ni changa la macho?