Ajira za Dawasco

Ajira za Dawasco

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana,

Naomba kuuliza nimeona sehemu nyingi kuna branch mpya za idara ya maji Dawasco na soon kufunguliwa, ningependa kujua juu ya taratibu zao juu ya upatikanaji wa ajira ni Dawasco
 
Naomba niulize hawa dawasco vp ajira zao zinapitia utumishi au inakuwaje?
 
Naomba niulize hawa dawasco vp ajira zao zinapitia utumishi au inakuwaje?
Dawasco pale ni ba mkubwa kwa ba mdogo kuna watu wa nursing, pharmacy na education wapo pale wanapiga kazi kama water technician bila connection isijisumbue
 
Hapana hawa Dawasa bado wanaajiri wenyewe
Mkuu hapo imekaaje wakati serikali imesema ajira zote zitokee utumishi wao kama dawasa wana mamlaka gani ya kuajiri wenyewe hali ya kuwa taasisi nyingi za serikali hazifanyi ivyo. Embu nifafanulie mkuu
 
Dawasa wanajiendesha wenyewe kwa mapato yao na ilikuwa zamani Sasa HV wamebadilisha hata dawasa hawajatangaza bado lazima zipitie utumishi
 
Back
Top Bottom