Meneja CoLtd
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 122
- 143
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jilipue tu, usipoomba umechgua kukosa wewe mwenyew mana huchaguliwi. Ukiomba inawez kuwq bahat yako ukapata so unajipa matokeo mawili with any posibilityWakuu Leo nimeliona tangazo la nafasi ya kujiunga JESHI LA WANANCHI TANZANIA lakini naombeni ufafanuzi kwenye masharti yake kama UMRI NA CHETI CHA JKT WANAZINGIATIA SANA AU TUFANYE MAOMBI TU POTELEA KARIBU?
Nani kasema mkuu?JKT lazima
Barua yenye Tangazo la ajiraNani kasema mkuu?
OmbaWakuu Leo nimeliona tangazo la nafasi ya kujiunga JESHI LA WANANCHI TANZANIA lakini naombeni ufafanuzi kwenye masharti yake kama UMRI NA CHETI CHA JKT WANAZINGIATIA SANA AU TUFANYE MAOMBI TU POTELEA KARIBU?
Elimu ya Tanzania ni mbovu sana yaani Mtu kaleta hapa Tangazo mwenyewe na lina kila Maelekezo halafu tena anatuuliza yale yale ambayo yapo katika Tangazo husika la Kazi. Kweli CCM ina haki ya Kuitawala Tanzania kwani inajivunia Majuha wengi ambao ndiyo Mtaji wake.Wakuu Leo nimeliona tangazo la nafasi ya kujiunga JESHI LA WANANCHI TANZANIA lakini naombeni ufafanuzi kwenye masharti yake kama UMRI NA CHETI CHA JKT WANAZINGIATIA SANA AU TUFANYE MAOMBI TU POTELEA KARIBU?
Sasa hapo mkuu umeumia na lipi,Elimu ya Tanzania ni mbovu sana yaani Mtu kaleta hapa Tangazo mwenyewe na lina kila Maelekezo halafu tena anatuuliza yale yale ambayo yapo katika Tangazo husika la Kazi. Kweli CCM ina haki ya Kuitawala Tanzania kwani inajivunia Majuha wengi ambao ndiyo Mtaji wake.
Jkt lazima kwa jwtz mzee statement inajielezaNani kasema mkuu?
Kuna mdau Wang katuma kwa ems na katozwa 15k, nawewe ulitakiw kufuat maelekez maana maombi ni mengiWakuu naomba kuuliza, je kwa mtu aliyetuma maombi bila kutumia njia ya ems kuna uwezekano maombi yasifike kwa wakati maana mimi nililipa sh.2000 ya stempu pale posta ya daresalaam tarehe 7. 8.2024 kisha nikatumbukiza bahasha kwenye kile kisanduku cha posta kwahiyo naomba kujuzwa kama nilikosea nikatume upya kwa ems
Fuata amri,ishara na maelekezo mbalimbali.Wakuu naomba kuuliza, je kwa mtu aliyetuma maombi bila kutumia njia ya ems kuna uwezekano maombi yasifike kwa wakati maana mimi nililipa sh.2000 ya stempu pale posta ya daresalaam tarehe 7. 8.2024 kisha nikatumbukiza bahasha kwenye kile kisanduku cha posta kwahiyo naomba kujuzwa kama nilikosea nikatume upya kwa ems