HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Tumesikia kuhusu ubadhirifu kupitia taarifa ya CAG, PCCB
Hasara ya Bilioni 450 zilizolipwa kwa wakandarasi kutokana na kucheleshwa malipo. Hapa ilitakiwa wahusika wote wafilisiwe, wafukuzwe kazi, wafungwe.
ATCL kuwa na hasara ya Bilioni 71 ndani ya miaka 2, hii imetokana na waajiriwa wa ATCL kulipwa mishahara na Serikali, ingekuwa kampuni binafsi lazima ingepunguza wafanyakazi ili kuendana na uhalisia.
Halmashauri nyingi upotevu wa mapato ni mkubwa na yote sababu kila mtu anajua hafukizwi kirahisi
Wanasiasa kuingilia mambo yasiyohitaji siasa.