Mwanakanenge
Member
- Nov 25, 2012
- 75
- 17
Kiongozi hapo kwenye Red umemeza makosa unamlisha mkuu kasa,....hata mtu aliyefanya shahada ya uhandisi,takwimu anaweza kuwa afisa mipango seuze mkuu hapo yupo full na Development Finance and Investment Planning bana tena kutoka kule kule wanakopikwa maafisa mipango.....lol!....usimtishe mwenzio akarudi Dodoma kumuuliza Doctoro wake umuhimu wa shahada yake bana.Maofisa mipango huwa ni watu wenye shahada za uchumi mkuu..wewe na hyo shahada yako cjui unafit wapi kwa kwel.
Au kama kuna mkoa au halmashauri unajua kuna nafasi katika idara ya mipango nijulishe sio lazima iwe mpya@chenge
mwakanenege pamoja na kusoma na kupata shahada bado uelewa wako ni mdogo sana hasa katika mifumo ya ajira za serikalini.Hujui kuwa kuna taasisi inaitwa TUME YA AJIRA"www.ajira.go".Hicho ndicho chombo kinachoratibu ajira zote mpya za taasisi za umma isipokuwa majeshi pekee yake.Pia degee za kuunga unga hizi nazo ni mizigo kwa mtaalamu mzuri anajua kuwa taasisi zetu zinakurupuka kuanzisha kozi mpya bila hata tathimini za kina na kufikiri kuwa kuuunga kozi kunasaidia kuongeza credibility kwenye employment wakati ni zero kabisa hivyo mtu anakuwa ni half way learned.Au kama kuna mkoa au halmashauri unajua kuna nafasi katika idara ya mipango nijulishe sio lazima iwe mpya@chenge
mwakanenege pamoja na kusoma na kupata shahada bado uelewa wako ni mdogo sana hasa katika mifumo ya ajira za serikalini.hujui kuwa kuna taasisi inaitwa tume ya ajira"www.ajira.go".hicho ndicho chombo kinachoratibu ajira zote mpya za taasisi za umma isipokuwa majeshi pekee yake.pia degee za kuunga unga hizi nazo ni mizigo kwa mtaalamu mzuri anajua kuwa taasisi zetu zinakurupuka kuanzisha kozi mpya bila hata tathimini za kina na kufikiri kuwa kuuunga kozi kunasaidia kuongeza credibility kwenye employment wakati ni zero kabisa hivyo mtu anakuwa ni half way learned.
Kwa ufupi ni kwamba
1.finance ni kozi yenye kujitosheleza na kusoma miaka mitatu bila kumaliza
2.investment in field pia ya kushinda kubeba magunia ya misumari
3.economic planning nayo isiombe. Tujiulize wewe kwa miaka mitatu unajua nini na nini kwa field zote tatu.?.chagueni kozi nzuri zinazojitosheleza .hivi kozi kama hii siamin kama unaweza kupata exemption ya mtihani ya nbaa. Aluta catabuu