Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
494
Reaction score
1,656
Habari wakuu?

Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi

Fuatilia website ya hospitali! Kama kuna swali njoo pm
 
habari wakuu?? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II ! Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi

Fuatilia website ya hospitali! Kama kuna swali njoo pm
Mkuu ina maana ajira ya hio hospital haitolewi tena na ajira portal instead ni directly kwenye website ya hospital au unamaanisha nafasi ya kujitolea wametangaza?
 
Back
Top Bottom