habari wakuu?? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II ! Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi
Fuatilia website ya hospitali! Kama kuna swali njoo pm