Ni ivii waliomaliza vyuo vya afya private na kufaulu vizuri kama certificate ya pharmacy.
wakuu hawa wafamasia ajira zao wanapangiwa direct hospitali za kiserikali kama walimu! wakuu naombeni mnifafanulie juu ya hili
Huwa wanapangiwa direct kwenye hospital za serikal ba baadh yao hupelekwa TFDA na wanaoona kama nshahara kuwa ni tatizo kidogo huwa wanaenda kuomba kwnye hospitali binafsi na community pharmacy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.