Tafadhali ukipata utaratibu naomba unijulishe nami nimemaliza mwaka huu Ni Chemistry na MathematicsHabari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics ,katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi...
Nendeni Manispaa ya Ilala mtapewa muongozoTafadhali ukipata utaratibu naomba unijulishe nami nimemaliza mwaka huu Ni Chemistry na Mathematics
Najijibu mwenyewe kwa faida ya wengine,nimetoka Halmashauri ya jiji ,mkurugenzi ametoa taarifa kwamba ajira za mkataba hazijaanza kutolewa lakini wanashauri watu wajitolee ili upate barua ya utambulisho kutoka kwao.Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia nimepata taarifa kwamba hii imeshawahi fanyika Temeke kwa hiyo naamini watakuwepo wenye uzoefu na hili.
Mawazo yenu tafadhali namna gani ya kupata hii ajira kama kweli ipo na ufuatiliaji wake upoje.
Naomba kuuliza kwani hizo barua za utambulisho unazitumia wapi?au hukupewa ufafanuzi zaidNajijibu mwenyewe kwa faida ya wengine,nimetoka Halmashauri ya jiji ,mkurugenzi ametoa taarifa kwamba ajira za mkataba hazijaanza kutolewa lakini wanashauri watu wajitolee ili upate barua ya utambulisho kutoka kwao.
Barua hiyo ni ya kukutambua kwamba unajitolea katika shule fulani , unachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya kuomba kujitolea kwenye shule husika yani kwa mkuu wa shule then ipite kwa afisa elimu na mwisho kwa mkurugenzi ,utaipeleka manispaa wao watakupa barua ya utambulisho kutoka kwa mkurugenzi.Naomba kuuliza kwani hizo barua za utambulisho unazitumia wapi?au hukupewa ufafanuzi zaid
Barua hiyo ni ya kukutambua kwamba unajitolea katika shule fulani , unachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya kuomba kujitolea kwenye shule husika yani kwa mkuu wa shule then ipite kwa afisa elimu na mwisho kwa mkurugenzi ,utaipeleka manispaa wao watakupa barua ya utambulisho kutoka kwa mkurugenzi.
[emoji120][emoji120][emoji120]Barua hiyo ni ya kukutambua kwamba unajitolea katika shule fulani , unachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya kuomba kujitolea kwenye shule husika yani kwa mkuu wa shule then ipite kwa afisa elimu na mwisho kwa mkurugenzi ,utaipeleka manispaa wao watakupa barua ya utambulisho kutoka kwa mkurugenzi.
Acha kudanganyana watu hakuna mtu anayeajiriwa kwa kujitolea.Matumizi yake ni pale ajira zikitoka mkuu wako wa shule yeye atapeleka jina lako manispaa moja kwa moja then wao wataangalia kwenye data zao kama kweli ulikuwa unajitolea na kama wanakutambua wakikuta hito barua ambayo kopi yake ulipewa basi ajira yako wewe ni moja kwa moja..unapewa kipaumbele kwa lugha nyingine
Kuna dogo kada ya afya anajitolea kule Mbeya mwaka wa pili huu. Ajira za mwaka jana zilizotoka hakuitwa, kazi wamepata waliokua kitaa. Sometimes kujitolea ni sawa na kutoa sadaka.Acha kudanganyana watu hakuna mtu anayeajiriwa kwa kujitolea.