Ajira za NHC vipi?

Ajira za NHC vipi?

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,330
Wanabodi.
Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti.
 
tUNAOSAKA AJIRA TUKO WENGI UMESOMEA KITU GANI NGUGU MTOI
 
Jamani mwenye list za ajira nhc tunaomba atuwekee tuzicheki!
 
Kwa taarifa tu nilizo nazo ajira za NHC mara nyingi hua wanatangaza kupitia website yao,
 
Mm nimecheki kwenye website yao hakuna ajira walizotangaza ndiyo maana nikamuuliza mleta hoja akapata wapi hizo taarifa za ajira!
 
ukiona hivyo watu washatengewa hizo ajira, we usiyejulikana mtoto wa mkulima wa mihogo bagamoyo ulie tu.
 
tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!, mbavu zangu mie mtoto wa mkulima, nepotism imezidi nchi hii.
 
mnkankule walitangaza ajira ila hawakutoa kwenye magazeti,walitoa online kwenye website yao mm nimeona siku ya deadline,waliopeleka walikuwa wachache sana, walikuwa wa nahitaji watu wa call centre
 
Back
Top Bottom