Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Wakuu, habari za muda huu na poleni kwa shughuli mbalimbali za maisha. Nina maswali mawili kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Contact Centre Agent .
1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi?
2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani kuitwa kwenye Oral Interview?
Uzi huu utakuwa msaada kwa wale waliokwisha kuomba na kupokea email kuwa Al hamis hii kuna hiyo Aptitude Test.