Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Haya,ni kwa walioomba mtandaoni,wa elimu kuanzia Astashahada mpaka shahada,wapo wale wa form iv na viMajina hyo,yote yapo hapoView attachment 2484535
Huko huko,kupitia njia gani?Hayo majina ni kwa walioomba moja kwa moja kwa IGP,ni wale wenye Certificate,Diploma na Degree,wale wa Form 4 na 6 walioombea kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa majina yao yatatolewa hukohuko
Asante, kwa ufafanuziwaliotuma kwenye Email Makao Makuu,walioombea kwa Makamanda mikoani wameanza kutumiwa meseji kwenye simu zao kuitwa kwenye Usaili,kijana wangu ametumiwa,yeye aliombea kwa Kamanda wa Polisi Singida,anatakiwa tarehe 23 saa 2:00 asubuhi kwa Kamanda Singida
Kwanini,kaka moyo wako unasita? Umeomba? Kama moyo wako hauko na utayari,ni vyema kutokua kabisa,kama umeomba kwa namna au sababu zitokanazo na msukumo wa kimaisha.Hizi ajira bado moyo wangu unasta. So mm ndio nakua polisi?
Kuna vitu tuna lazimisha kwasababu ya maisha yaani.Kwanini,kaka moyo wako unasita? Umeomba? Kama moyo wako hauko na utayari,ni vyema kutokua kabisa,kama umeomba kwa namna au sababu zitokanazo na msukumo wa kimaisha ,
KUNYWA MAJI MENGI,FUNGUA MOYO POTI
Maisha inabidi yaendelee chief,hakuna namna, lets keep movingKuna vitu tuna lazimisha kwasababu ya maisha yaani.
Ni kweli rafiki,Maisha inabidi yaendelee chief,hakuna namna, lets keep moving
Leo??Wakulungwa nasikia Pdf ya polisi wanaimwaga leo , vp na nyie washkaji mmepata lonja gan huko
Leo??
Leo hapana... wakubwa hawaendi ofisini leo[emoji16]Ndio nimesikia leo, sema lonja zimekuwa nyingi sina uhakika sana
Ndo maana nikasema niwaulize na wanangu huku na nyie mmesikia Yapi ili tujue uelekeo man
Leo hapana... wakubwa hawaendi ofisini leo[emoji16]
Hiyo ni comment ila issiue ya kutoa majina j2 polis haiwezkanWanaweza wasiende kazini lakn website zao zinafanya kazi 24hours we nenda kacomment pale uone kama hawatakujibu Mzee baba
Hiyo ni comment ila issiue ya kutoa majina j2 polis haiwezkan