haina maana kuwasomesha watu, na usiwatumie. ni sawa na kijiji chenye njaa kilichojitolea kile kidogo kwa watu wachache ili waende kutafuta chakula. wale waliotumwa wanaporudi na chakula chao kinawekwa stoo kinaozea huko wanakijiji wakifa na njaa. ni vyema ile pesa kidogo mliyotumia kuwasomesha msiwaajiri munge wakopesha wakafanya biashara,... cz tanzania is all about biashara, makanisa, maofisi,... biashara tupu. inabidi tufikirie kutumia kile tulichonacho tuwatumie wasomi wetu, au tupunguze idadi ya vyuo cz elimu inayotolewa huko cio ya mtu kujitegemea ni m2 kutegemea ajira, tunaitengeneza nchi ya aina gani? M ungu ibariki tanzania,..