Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani mkuu baada ya kusoma maelezo yako nimesha maliza changamoto na dogo amesha apply🙏Mfumo wao wa Ajira umeunganishwa na Nida kwa ajili ya kupata taarifa muhimu za mtu. Angalia unavyoweka namba za nida vizuri, usiache nafasi. Kama ulifanya hivyo ikagoma basi haujasajiliwa Nida bado itakua changamoto kupata access.