Mfumo wao wa Ajira umeunganishwa na Nida kwa ajili ya kupata taarifa muhimu za mtu. Angalia unavyoweka namba za nida vizuri, usiache nafasi. Kama ulifanya hivyo ikagoma basi haujasajiliwa Nida bado itakua changamoto kupata access.