Ajira za TAKUKURU walitoa majibu?

Ajira za TAKUKURU walitoa majibu?

Mido68

New Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Waungwana naomba kujua mdogo wangu aliombaga ajira takukuru hivi walishatoaga au bado maana ilkua kimya mpaka leo?
 
Kimya kimya kama ngwair mkuu vyombo vya ulinzi na usalama ndio protokali zao
 
Waliokula mchongo waliiitwa kupitia email address baada ya oral interview wenyewe wanakarbia Kumaliza training
 
ndio Leo wamemaliza ,nimenyosha goti na kitaka mkononi
 
Back
Top Bottom