Ajira za TAMISEMI zilikuwa hazitolewi kwa haki, bora sasa hivi zimehamishiwa Utumishi

Pole sana Kijana, there's always tomorrow. Ukiona mlango mmoja umefungwa ujue kuna Tisa iko wazi, hivyo ndio mwenyezi MUNGU anavyofanya Mambo yake
Msanii Mr blue ( bayser) kuna nyimbo yake moja anachana " wanabana huku kumbe kule waazi"
 
Wakuu kwanza niwape Pole ma jobless wote mliopo kila kona ya nchi hii mnaoendelea na msoto wa ukosefu wa ajira japo sifa za kuajirika mnazo na hata hizo ajira zenyewe zipo.

Kwa hili la Ajira za TAMISEMI kupelekwa kule utumishi tumshukuru sana Naibu Waziri utumishi Mhe. Ridhwani Kikwete na Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa.

Ajira za TAMISEMI zilikuwa zimejaa uozo sana tulipokuwa tumefikia kuna watu walifikia kuzifanya kama fimbo ya kuwachapia maadui zao na watu wasiokuwa na connection. Na kama itapendeza ajira hizi zipatikane kwa watu kufanya interviewc(usaili).

Nina imani hili litapunguza malalamiko. Mimi nakumbuka miaka ya nyuma zilitangazwa ajira kutoka TAMISEMI na mimi ni miongoni mwa waliofanya maombi, nikawa nimekosa ajira zile. Wakati nalalamika akatokea mtumishi mmoja kutoka TAMISEMI Dodoma akaniambia hivi "walaumu wazazi wako walioshindwa kukutengenezea connection sio sisi'.

Vijana jobless kwa hili tushukuru japo safari bado ni ndefu. Ukiona giza limezidi basi tambua kumekaribia kukucha
Mkuu punguza wivu wa kimaendeleo na kubali kushukuru kwa jambo lolote lile... kama riziki ni yako ni yako tu mkuu.

Haiwezekani hata siku moja kwamba watu wote wasio na kazi wakapata kazi kwa siku moja woote. Hao waliopata na ww ukakosa, hata wao pia walikua na shida na uhitaji kama wewe.

Pamoja na hayo yote kufanyika bado tu kuna ambao watakosa ajira kwa wakati huo ambao wanaona ndio wakati wao pekee wanastahili kupata ajira.
 
W

Wapi nimeonyesha kuwa Mimi Nina wivu?
 
Wapi nimeonyesha kuwa Mimi Nina wivu
 
Wakuu kwanza niwape Pole ma jobless wote mliopo kila kona ya nchi hii mnaoendelea na msoto wa ukosefu wa ajira japo sifa za kuajirika mnazo na hata hizo ajira zenyewe zipo.

Kwa hili la Ajira za TAMISEMI kupelekwa kule utumishi tumshukuru sana Naibu Waziri utumishi Mhe. Ridhwani Kikwete na Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa.

Ajira za TAMISEMI zilikuwa zimejaa uozo sana tulipokuwa tumefikia kuna watu walifikia kuzifanya kama fimbo ya kuwachapia maadui zao na watu wasiokuwa na connection. Na kama itapendeza ajira hizi zipatikane kwa watu kufanya interview (usaili).

Nina imani hili litapunguza malalamiko. Mimi nakumbuka miaka ya nyuma zilitangazwa ajira kutoka TAMISEMI na mimi ni miongoni mwa waliofanya maombi, nikawa nimekosa ajira zile. Wakati nalalamika akatokea mtumishi mmoja kutoka TAMISEMI Dodoma akaniambia hivi "walaumu wazazi wako walioshindwa kukutengenezea connection sio sisi'.

Vijana jobless kwa hili tushukuru japo safari bado ni ndefu. Ukiona giza limezidi basi tambua kumekaribia kukucha[emoji41]
Usijidanganye ndugu labda kama hukuwa na connection TAMISEMI na sasa una connection na Utumishi.

Suala la connection haliepukiki.
Angalia ajira zilizotangazwa,nyingine ni hewa,hizo hewa ndizo wanapitia humo watu wa connection
 
Back
Top Bottom