Ajira za TAMISEMI zilikuwa hazitolewi kwa haki, bora sasa hivi zimehamishiwa Utumishi

Pole sana Kijana, there's always tomorrow. Ukiona mlango mmoja umefungwa ujue kuna Tisa iko wazi, hivyo ndio mwenyezi MUNGU anavyofanya Mambo yake
Msanii Mr blue ( bayser) kuna nyimbo yake moja anachana " wanabana huku kumbe kule waazi"
 
Mkuu punguza wivu wa kimaendeleo na kubali kushukuru kwa jambo lolote lile... kama riziki ni yako ni yako tu mkuu.

Haiwezekani hata siku moja kwamba watu wote wasio na kazi wakapata kazi kwa siku moja woote. Hao waliopata na ww ukakosa, hata wao pia walikua na shida na uhitaji kama wewe.

Pamoja na hayo yote kufanyika bado tu kuna ambao watakosa ajira kwa wakati huo ambao wanaona ndio wakati wao pekee wanastahili kupata ajira.
 
W
Wapi nimeonyesha kuwa Mimi Nina wivu?
 
Wapi nimeonyesha kuwa Mimi Nina wivu
 
Usijidanganye ndugu labda kama hukuwa na connection TAMISEMI na sasa una connection na Utumishi.

Suala la connection haliepukiki.
Angalia ajira zilizotangazwa,nyingine ni hewa,hizo hewa ndizo wanapitia humo watu wa connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…