Ajira za ualimu 2015 ni pigo la wengi

millers

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
257
Reaction score
34
Poleni sana walimu wenzangu kwa maumivu ya akili. Ila nachowaomba msitumie lugha chafu kwajir ya usalama wako kutokana na sheria mpya inayotaka kuanza
Mawazo yangu ninavojua taarifa kuhusu ajira zetu ingetangazwa leo asubuh kwenye tv na maredio then hata ukingia mtandaoni unaziona
Suruhisho ni kwamba ajira hazijatoka leo ndio maana vyomb vya habar havijatangaza chochote kuhsu ajira
Msisitizo wangu ni kwamba twendelee kusubir mpaka pale watakapotangaza sio kusubir ahadi tenda
Huzuni yangu ni kwamba roho inaniuma sana kwa serikali ya chama kipenzi changu cha moyo kuniumiza na kunitesa kiasi iki kweli mapenzi yanauwa jamani tukionee huruma iki chama sio kosalake kimeshikwa pabaya
 

Lakin leo ni j'mosi ofisi za serikali zinafanya kazi kweli? Hata kama zinafanya basi km mpaka muda huu bado kwa leo ndio basi. Watu wasubiri j'tatu km napo itakua kimya na wizara haisemi chhochote basi inabdi watu waangalie utaratibu mwingine. Coz hata kura ya maoni ilikomaliwa na serikali itakuwa tar 30 April mwisho wake ikawa tofauti kwa hiyo hata hili sion sababu ya watu kuumia walipaswa kujiandaa kisaikolojia endapo hali km hii itatokea.
 

Uko sawa uwo ndo ukweli tatizo watu wanajisikia aibu na ni aibu kusoma miaka 18darasani afu unakua na maisha magumu kuliko mama ntilie daa inabidi watu wakubali maana baba wa serikali ameshikwa pabaya
 
kuweni wapole bhana, sisi mwaka jana zilitoka saa kumi jioni siku ya jumamosi... acheni wasi wasi..

karibuni tushike chaki.
 

Mkuu hapo sijakuelewa kabisa yani.

Daaah alafu napata sana hasira kuona walimu wapole kama wewe yaani kiurahisi tu ajira hakuna alafu unakaushaaaa daaaaah amkaaaa mkuu dic is tym for change bana na mabadiliko yanaanza na wewe and then national wide.

Usiwe mnyongeeeee hadi haki unyimweeee eeee nasema haki kwani sera ya ndio iko hivyo kuwa tutaaajiriwa baada ya kuhitimu mafunzoo.
acha unyongeee bwana kwa pamoja we can kama wale jamaa wa jkt
 
kuweni wapole bhana, sisi mwaka jana zilitoka saa kumi jioni siku ya jumamosi... acheni wasi wasi..

karibuni tushike chaki.

Kama ni hivyo basi watu wasi panic wasubir siku iishe kama itakuwa hola! ndio waanze kuonesha hisia zao.
 
Poleni sana walimu.

HAKIKA SERIKALI INAWAKOSEA SANA.
 

Ila usipanic mkuu coz vitu km hivi huwa wanafanya press conference kwanza kutoa maelezo muhimu kwa wahusika na wadau na labda hiyo press conference wanaifanya mchana huu na baadae wanaachia kwenye taarifa ya habari ya 8:00 usiku taarifa zinatangazwa. Hivyo stay cool msomi haluz temper kirahis bila concrete evidence siku haijaisha bro
 
ajira zinatoka siku yeyote ata sa sita usiku mbona matokeo huwa yanatoa jumapili sa 11 kwan huo ni muda wa kazi.....ajira ni zetu tutazisubir wengine zungudheni bahasha
 
najiuliza, kama kusubir hali ndo hii ikitokea jina langu likatemwa?!?!??!??!!!!!!!
 
msikate Tamaa ila mwalimu hutakiwi Kuwa mtiifu kazini utakufa maskini,kazini fika sio kushinda Mara mbili kwa wiki tu na asikutishe MTU,tafuta shule ya private lamba ajira.Lazma ajira zitoke si kuna uchaguz bana,ndugu yangu chichimizi uskate tamaa
 
msikate Tamaa ila mwalimu hutakiwi Kuwa mtiifu kazini utakufa maskini,kazini fika sio kushinda Mara mbili kwa wiki tu na asikutishe MTU,tafuta shule ya private lamba ajira.Lazma ajira zitoke si kuna uchaguz bana,ndugu yangu chichimizi uskate tamaa

2010 pia kulikua na uchaguzi, but watu walisota kitaa mwaka mzima!.
 
Daaaaaaaah Tanzania taifa la bongo kwenye hard tym tunamake bingo but WENGI WAO NIWAONGOOOOO pigia mstari waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…