Ajira za ualimu 2015 ni pigo la wengi


Mulugo 23 alitisha
 
Mleta uzi ww ni mpuuzi kupita maelezo.Eti "serikali ya chama changu huh!!" una akili kweli ww? na huo uwalimu wako ni wa level gani? au certificate?
Simama na badili fikra kichwani mwako na kwa wengine ili hali hii isiwepo Tz kwa kuondoa uozo wote wa serikali ya mafisadi ccm.Nenda kawabadili watoto na kuwapiga marufuku kuhusu ccm maishani mwao inawaua.Wenzenu wanakula mboga za M 10 ninyi huku kupata kakazi japo mpate laki moja ni shida.
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Aibu sana kwa wewe msomi wa sasa unayeshindwa ku-reason na et unajifanya mwana-ccm,ni ujinga wa hali ya ju.Bora hata ya yule ambaye hajabahatika kupata elimu.



"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER ,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO.
 

Asante lakini ss unajua si kwamba mi ni uozo I am degree holda product ya ud but kunausemi usemao mwenye nguvu mpishe bwana ik cham cha serikal ni kam nyokaa mkubwa alie bebe jini makata la kudhurumu hki za wat so iwander kam utakua salama ukimchezea mkia af kitu kingine usomi sio kuponda chama tawala na kusifia upinzani we are all human being hapo kua makini usomi ni kuchekecha tabia ya mtu binafsi kwamba anaweza kuongoza je yale mambo manne ya mwalimu nyerere yanafatwa? Unajuaje unaweza ukasema wema wapinzani wakikudisappoint fikiria kwa umakini kiongoz bora sio chama bali ni tabia yamtu binafsi
 

Well said,nilitegemea nikutane na kitu hiki toka kwako.Kwamba ni mtu unayejielewa isipokuwa una mapungufu yafuatayo; FEAR,LOW CONSCIENCE,NEGATIVE ATTITUDE.

Katika vitu ambavyo ni dhambi kwny maisha ni KUOGOPA.Tangu lini Watanzania ninyi mlijaribu kuweka utawala mwingine na mkawa disppnted? Hali imekuwa ngumu sana ya kimaisha bado tu mnaamini ktk fikra na mawazo ya watu walewale.Wewe kama msomi wa UDSM ndo unatakiwa uwe na fikra pevu na elimu yako uitumie ktk kuleta impact fulani ktk jamii na ibadilike na si kukumbatia uozo kisa et mwenye nguvu huh! Kuna mwenye nguvu Tz? "Hata dola ya Amerika ipo siku itaanguka" je umewahi sikia dola ya Tanzania?TAFAKARI.
Ndo hapo tunapochanganyikiwa wasomi wetu ninyi tena toka UD sijui wapi na wapi mnakuwa ndo watu msioeleweka na mnashindwa kuwa icon ktk kuleta mitazamo mipya.Sijui na sie ambao ni darasa la saba na wakulima huku tumtegemee nani?Indirectly fanya mapinduzi kwa kutoa elimu kwa jamii,hata wanafunzi wako darasani kwaajili ya taifa lenye USTAWI na UTU hapo badae.Umeelewa kijana?


"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO".
 
ulikua mwalimu wa certificate??? Walimu wote sekondari waliajiriwa 2011 january!.. na ndo ninao wazungumzia

kama january ndio ulitimiza mwaka toka umalize chuo simply ulifanya UE january 2010. Najiuliza ni chuo gani hicho ulichosomea au ni Madrasa?
 
2010 pia kulikua na uchaguzi, but watu walisota kitaa mwaka mzima!.

2010 angalau walikuwa na uhakika Wa ushindi chaguo la miungu lilikuwa linawapa hope na hakukuwa na ukawa.this time hali ni tete lazima waajiri tu
 
akuna cha ukawa wala ccm wote walewale tu kwani waziri wa elimu kivuli anafanya nini au uwezo mdogo ajui wajibu wake?
 
chichimizi njoo huku tugawane substance allowance mbona umetukimbia chichi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…