Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Kama somo linavyosema naomba kujua ajira za walimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo bana,sasa neno Kenge limetoka wapi? Yani hapo ndo unapojizihirisha ulivyo taira mtu kaulizi vizuri,unajibu utumbo.Lete hela nikupe fununu za uhakika kenge wewe.
Ona kenge hii.Wa
Wabongo bana,sasa neno Kenge limetoka wapi? Yani hapo ndo unapojizihirisha ulivyo taira mtu kaulizi vizuri,unajibu utumbo.
No ajira ni February ualimu utapata Kam 16000 afya 9000Mwaka huu mapema uwenda tarehe ya kuanzia 20 wakatoa Hila miaka mingi wanatangazaga mwezi wa tatu hivi
Oky sawaNo ajira ni February ualimu utapata Kam 16000 afya 9000
Hata zikitoka una uhakika wa kupata??Kama somo linavyosema naomba kujua ajira za walimu.
Kama ana physics anapataHata zikitoka una uhakika wa kupata??
Huenda ukawa umemaliza chuo mwaka 2023[emoji2][emoji2]
Nina ndugu yangu tangu 2019 hajapata hizi ajira za ualimu kwa ulicho kiandika siku mbili hizi zilizopita na alicho sema waziri leo inaonyesha kabisa hauko mbali na jiko kwa iyo connection yako ni muhimu ili kumfanikishia huyu ndugu yangu ndio jicho la familia kwao.Mwaka huu mapema uwenda tarehe ya kuanzia 20 wakatoa Hila miaka mingi wanatangazaga mwezi wa tatu hivi
Atapata TU ni suala la muda mungu ni mwema, mungu utoa kwa amtakaye na Kwa wakati wake🙏Nina ndugu yangu tangu 2019 hajapata hizi ajira za ualimu kwa ulicho kiandika siku mbili hizi zilizopita na alicho sema waziri leo inaonyesha kabisa hauko mbali na jiko kwa iyo connection yako ni muhimu ili kumfanikishia huyu ndugu yangu ndio jicho la familia kwao.
Huyu ni chawa kama kina Babu taleNina ndugu yangu tangu 2019 hajapata hizi ajira za ualimu kwa ulicho kiandika siku mbili hizi zilizopita na alicho sema waziri leo inaonyesha kabisa hauko mbali na jiko kwa iyo connection yako ni muhimu ili kumfanikishia huyu ndugu yangu ndio jicho la familia kwao.
Sio wa 1 boss?Mwezi wa 2-3.... Rais amekwishatoa kibali!.