Habari wana jamvi, kwa mawazo yangu ajira za ualimu baada ya miaka3 itakua shida kupatikana,
Nazungumza haya kwakua mpaka sasa vyuo vinavyotoa bachelor za education ni vingi xana ukiacha public hivyo vya private ndo balaa yan kila kona ad st joseph wanatoa education.
Wasiwas wang upo kwenye kupata ajira, Je itakua simple kam ilivyo sasa?
Kalibuni wadau wote wa elimu, angalizo nikwamba tunazungumzia kwa leval ya bachelor (education)