Ajira za ualimu na sura mpya, nachoka kabisa

Watoe tamko rasmi sasa ili na waio vyuoni wajipange jinsi ya kutembea na bahasha
 
Hayo yalikuwa maneno ya naibu waziri wakilimo aliyoyasema lkn nina wasiwasi naye kwanini azungumzie wizara isio yake?
Walimu poleni ila pressure itakuwa kwa walimu wa cheti,kwani jamaa kasema mwisho wa kuajiri direct ni wale wanaosubiri mwakani wengine watakofata watakuwa wanatuma maombi ktk wilaya zenye upungufu tena baada ya kutangazwa nafasi
 
tatizo la hii serikali huwa hawatoi tamko kamili kuhusu swala la ajira za walimu. Hivi kwani kuna ugumu gani wakatoa maelezo faafu (yanayofaa) juu ya swala hili?
 
Always Mwalimu hata wakikwambia u apply ni sawa coz possiblity ya kujiajiri ipo,na private school zpo.So cwez kujicompare na kozi zisizo marketable kwa bongo hii ka sheria,sociology na pspa.
 
Lakin mkuu kuna naibu waziri wa kilimo alisema wazi wakati wa mahojiano siku ya tar. 31 asbhi katika television ya Star

naibu waziri wa kilimo na elimu wapi na wapi kaka!!!!!.. hana data tumsubiri kawambwa atoe tamko.
 
Sisi sote hatujui chochote kwani wizara husika haijatamka chochote kwenye uwanja wake. Hizo ronja za radiokurutu tu. tusubiri taarifa kutoka uraiani si unajua hapa ni sawa na makuruti wanaokuwa na shauku ya kurejea makwao toka depo? kwa hiyo mabunio huwa mengi kuliko taarifa.
 
Nafikir sio muda muafaka saiv ni january very early to ask about teachers posts
 
Hakuna Ajira jiajiri
 

waziri bungeni kasema hakuna upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…