Ajira za ualimu: Nitaenda TAMISEMI kupata maelezo ya kina

Ajira za ualimu: Nitaenda TAMISEMI kupata maelezo ya kina

Omwami Nshomile

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
132
Reaction score
28
Habari walimu wenzangu?
Me ni miongoni mwa waaanga wa janga hili la ajira za mwaka huu. Kutokana na sintofahamu inayojitokeza, kesho asubuhi nitaenda kupata maelezo ya kina katika Jengo la TAMISEMI Dodoma. Ninaishi manyoni, hivyo nategemea kufika saa 4 nitakua nimefika. Naomba kuungwa mkono na walimu wenzangu mlioko maeneo ya karibu na Dodoma hili tuweze kupata ufafanuzi wa kina.
.
.
Hakuna dhambi mbaya kama uoga.
 
K go ahead!.. Mm jana nimekwenda kwa afisa Elimu wilaya.. Amesema tayari wametajiwa idadi ya walimu waliopangiwa, na Jumanne wankwenda Dar. Kufatilia pesa ya kujikumu, kuripoti tar 5, may
 
kilalakheri japo nina wasiwasi unaweukafika getini tu na wao wakawa wameshaweka majina hadharani.
 
Walimu mbona mna mchecheto sana?? Wenzenu wa kada zingine wana miaka kibao mtaani wanatafuta ajira, nyie ajira zenu zipo lkn mnachachariiiika!!!!
 
[ QUOTE=Omwami Nshomile;12570427]On ma way to Dodoma.[/QUOTE]


kila laheri mkuu.
 
Back
Top Bottom