Habari walimu wenzangu?
Me ni miongoni mwa waaanga wa janga hili la ajira za mwaka huu. Kutokana na sintofahamu inayojitokeza, kesho asubuhi nitaenda kupata maelezo ya kina katika Jengo la TAMISEMI Dodoma. Ninaishi manyoni, hivyo nategemea kufika saa 4 nitakua nimefika. Naomba kuungwa mkono na walimu wenzangu mlioko maeneo ya karibu na Dodoma hili tuweze kupata ufafanuzi wa kina.
.
.
Hakuna dhambi mbaya kama uoga.
K go ahead!.. Mm jana nimekwenda kwa afisa Elimu wilaya.. Amesema tayari wametajiwa idadi ya walimu waliopangiwa, na Jumanne wankwenda Dar. Kufatilia pesa ya kujikumu, kuripoti tar 5, may