Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

anuary salum

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
70
Reaction score
4
Ajira za Ualimu ambazo zimekuwa ni nyimbo kila siku,Zinatoka Kesho usiku wa saa nne,amesema Mulugo katika mahojiano na Radio. {chanzo} Radio Uhuru.
 
Ajira za Ualimu ambazo zimekuwa ni nyimbo kila siku,Zinatoka Kesho usiku wa saa nne,amesema Mulugo katika mahojiano na Radio. {chanzo} Radio Uhuru.

haziwezi kutoka usiku kwa maana ya kuwekwe Online ni mpaka Mulugo aite waandishi wa Habari ndio atangaze!
 
Mulugo mulugo ... Mawazr wote wangekua km yeye cjui nch ingekuaje. Kila cku vyombo vya habar yeye c bora akae kmya. J3 alitangaza mbele ya wandsh wa habar kwamba ajira kila k2 kipo tyr na post ztatoka ndan ya wik hi. Bora afunge domo lake kuliko kutangaza kila cku af utekelezaj cfur.
 

Zinatangazwa Leo,we kuwa mvumilivu tu,
 

Bofya
HAPA
Kwa taarifa zaid ifikapo usiku saa 5.
Yaani hadi usiku utakuwa umeshajua kila kitu.
 
Filipo mulugo ni naibu waziri wa elimu, na huyu kasim majaliwa ni naibu waziri wa elimu gani?
 
Mulugo anapiga domo sana utendaji m'bovu...wiki leo ndo imeisha kimyaaa!
 
Tatizo sio wanaosubiri tatizo ni taarifa wanazotoa kwenye vyombo nvya habari kwamba tayari kisha wanataja na tarehe ,kama hali ndio hiyo si wakae kimya wasubiri mpaka watakapo tangaza tu.
 
Naibu wazir ni amimu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…