Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

Sasa wewe mpiga movie na elimu wapi na wapi ndo maana unaongea mambo usio na uhakika nayo, kaa kimya, jana ume2keshesha hakuna lolote
. Ww cjui unayejiita handsome hv habar za ualimu na mamovie yako wap na wap ny ndio mnatudhalilisha waalimu tafadhali ucje huku kwa njaa zako,watoto wanahitaj kusoma mwalim n mwandish,msom,role model na cio mwigizaji shame on u
 
Mulugo mwenyewe ndio,aliyesema kuwa mwishoni mwa wiki,uwezi jua pengne leo au kesho kabla hawajaingia bungen jumatatu.
 
. Ww cjui unayejiita handsome hv habar za ualimu na mamovie yako wap na wap ny ndio mnatudhalilisha waalimu tafadhali ucje huku kwa njaa zako,watoto wanahitaj kusoma mwalim n mwandish,msom,role model na cio mwigizaji shame on u

Kama mwalimu anaandika hivi mwanafunzi wake Mhhhhhhhhhhhhh..............!!!!!!
 
. Ww cjui unayejiita handsome hv habar za ualimu na mamovie yako wap na wap ny ndio mnatudhalilisha waalimu tafadhali ucje huku kwa njaa zako,watoto wanahitaj kusoma mwalim n mwandish,msom,role model na cio mwigizaji shame on u

Mimi sina kosa lolote,Mulugo ndiye aliyesema na tumemzoea kwa kusema uongo kama huamini BONYA HAPA UONE JINSI ALIVYOSEMA MWAKA JANA,JE ALITIMIZA? kwa hiyo si njema kuanza kumkaripia mtu bila kosa,ni kweli muvi zangu haziusiani,ila nilikuwa natoa taarifa tu.
 
Mi nadhani graduate wote tuungane km watu wa Mtwara, tuandamane hadi Wizara ya elimu ndo 2tackilizwa otherwise 2takaa nyumbn mpk mwezi wa 7.
 
Jamaa wako hopless kabisa sasa mulugo alienda radio kufanya nini?
 
bhanaa hz post mwaka huu ztachelewa unajua fungu kubwa linaishia kwenye katiba mpya
 
Sasa wewe mpiga movie na elimu wapi na wapi ndo maana unaongea mambo usio na uhakika nayo, kaa kimya, jana ume2keshesha hakuna lolote

bora umpe ukwel wake. Chaku2wekea link za fb inahuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…