kugumu sana ila ajira hadi tarehe 26/03/2015
Ajira zitatolewa mwaka 2015/april' kwa walimu wa science, mathematics na kwa upande wa arts wataajiriwa walimu wa somo la lugha la kiingereza tu(english language subject) kwa masomo mengne ya arts walimu waliopo sasa wanatosha'
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.
kuna tetesi niliskia kuwa zitawahi kutoka
Ajira zitatolewa mwaka 2015/april' kwa walimu wa science, mathematics na kwa upande wa arts wataajiriwa walimu wa somo la lugha la kiingereza tu(english language subject) kwa masomo mengne ya arts walimu waliopo sasa wanatosha'
Hapo ni kusababisha wahitimu wa kike kuwa michepuko ya watu
Endlea kusubri pia jithdi ufungue ata kagenge ka machungwa ili kupata ata viela vya kujihudumia utakpoajiriwa huk ukisubri jina lako lingie payroll
zitawahi kwanini?
jamani mbona mapema sana!mtaajiriwa nyote lakini muda bado hadi march 2015. muwe wavumilivu jamani ndugu japo kitaa pakavu kweli.
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.
Hata vikao vya kupanga bado kufanyika kwakua serikali haina fedha then mwakani kuna mambo makubwa mawili yaani uchaguzi Wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hivyo huu mchakato utachelewa sana