Ajira za ualimu zitatoka lini?

Ajira za ualimu zitatoka lini?

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Mimi ni mwalimu graduate wa masomo ya sayansi nimefundisha private miaka mingi nataka kuingia serikalini, nianzie wapi?
 
Mimi ni mwalimu graduate wa masomo ya sayansi nimefundisha private miaka mingi nataka kuingia serikalini, nianzie wapi?

inakupasa uandike barua ya maombi ya kupangiwa kituo cha kazi ..
uainishe academic qualifications n particulars...
ILA SIJUI SIKU HIZI HII BARUA INAENDA KWA katibu mkuu TAMISEMI AU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.... hebu jaribu kuulizia.. maana wizara ya elimu ndio hupangia watu vituo ila ukisharipoti unakiwa chini ya tamisemi
 
Back
Top Bottom