Ajira za ualimu!!!!!

Ajira za ualimu!!!!!

Anthonio

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
202
Reaction score
21
HABARI!
Wanajamvi naomba kuuliza, ajira za walimu wapya zinatoka rasmi lini.

Mwenye taarifa tafadhali atujuze.
 
Nimepata fununu toka kwa
baadh ya wakubwa serikalini
kuwa zisipotoka tarehe 25 siku
ya ijumaa basi ni tarehe 28
jumatatu.
 
Back
Top Bottom