Anthonio JF-Expert Member Joined Oct 26, 2012 Posts 202 Reaction score 21 Jan 20, 2013 #1 HABARI! Wanajamvi naomba kuuliza, ajira za walimu wapya zinatoka rasmi lini. Mwenye taarifa tafadhali atujuze.
HABARI! Wanajamvi naomba kuuliza, ajira za walimu wapya zinatoka rasmi lini. Mwenye taarifa tafadhali atujuze.
M my web JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 1,592 Reaction score 242 Jan 20, 2013 #2 Anthonio said: HABARI! Wanajamvi naomba kuuliza, ajira za walimu wapya zinatoka rasmi lini. Mwenye taarifa tafadhali atujuze. Click to expand... tembelea tovut ya wizara au wavut wa wizara ya ajira
Anthonio said: HABARI! Wanajamvi naomba kuuliza, ajira za walimu wapya zinatoka rasmi lini. Mwenye taarifa tafadhali atujuze. Click to expand... tembelea tovut ya wizara au wavut wa wizara ya ajira
A Anuary Da Handsome'b Member Joined Dec 16, 2012 Posts 83 Reaction score 7 Jan 20, 2013 #3 Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.
Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.