Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Hivi siku hizi ajira za walimu ni za upendeleo? Zile ajira 5000 za walimu mheshimiwa Kassim Majaliwa (hata wewe pia) mlisema walimu 5000 tayari wameshasambazwa vituoni lakini hakuna sehemu yoyote majina haya yamewekwa hadharani na hata waziri wa TAMISEMI hajayatangaza.
Basi ukipata nafasi, tunaomba utatue hili suala maana Kama ni upendeleo wa namna hii kwenye ajira za walimu basi haipo haja ya kuwa na kitu kinaitwa"Serikali"
Basi ukipata nafasi, tunaomba utatue hili suala maana Kama ni upendeleo wa namna hii kwenye ajira za walimu basi haipo haja ya kuwa na kitu kinaitwa"Serikali"