Serikali ipo sahihi, kumwajiri mtu mwenye shahada kuwa mtendaji wa kijiji/kata ni anasa na matumizi mabaya ya taaluma.Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi iyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya ilemela wanahitaji astashahada tu...
Akidi inasema ikiwa kigezo cha kazi ni astashahada.., wewe ukiomba kwa cheti cha shahada au shahada ya uzamili unakua umeji disqualify mwenyeweWewe omba kazi hiyo
Kwani wamekunyima sababu una shahada?
Akidi inasema ikiwa kigezo cha kazi ni astashahada.., wewe ukiomba kwa cheti cha shahada au shahada ya uzamili unakua umeji disqualify mwenyewe
Mambo ya mshahara yanahusiana vp? Serikali si Ina ngazi zake za mishahara kwamba kwenye shahada atalazimisha apewe milioni ikiwa anaomba anajua mshahara ni elfu 80Serikali ipo sahihi, kumwajiri mtu mwenye shahada kuwa mtendaji wa kijiji/kata ni anasa na matumizi mabaya ya taaluma. Shahada ni kiwango kikubwa sana cha elimu, by the way umeona ngazi ya mshahara wa mtendaji wa kijiji?? Wewe tafuta kazi ya saizi yako...!
Kila kazi ina level yake ya taaluma mkuu. Utendaji wa kijiji waacheni vijana wetu wenye astashahada wajimwae mwae jamani. Ninyi na mashahada yenu mkapambane huko kwenye maelfu ya watu wakati nafasi mojaMambo ya mshahara yanahusiana vp? Serikali si Ina ngazi zake za mishahara kwamba kwenye shahada atalazimisha apewe milioni ikiwa anaomba anajua mshahara ni elfu 80
Serikali iruhusu wote waombe, atakaye ibuka kidedeo apewe shavu.
Hahahaha serikali inataka ua watu wake hiiKila kazi ina level yake ya taaluma mkuu. Utendaji wa kijiji waacheni vijana wetu wenye astashahada wajimwae mwae jamani. Ninyi na mashahada yenu mkapambane huko kwenye maelfu ya watu wakati nafasi moja
Tangia meko awe rais hizo ndio ajira wanazotoaNimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi iyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya ilemela wanahitaji astashahada tu...
Matumizi ya neno "akidi" muheshimiwa,viwango na masharti yake hayajazingatiwa.ππππAkidi inasema ikiwa kigezo cha kazi ni astashahada.., wewe ukiomba kwa cheti cha shahada au shahada ya uzamili unakua umeji disqualify mwenyewe
Una shahada halafu unalilia utendaji wa kijiji?Hhahahhhaa a
HhahahhhhhaaMatumizi ya neno "akidi" muheshimiwa,viwango na masharti yake hayajazingatiwa.ππππ
Sijui itakuwa shahada ya utendaji wa kijiji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una shahada halafu unalilia utendaji wa kijiji?
Katika huo utendaji wa kijiji, degree Wala Haina chake na hausomewi, kinachotakiwa mtu uwe na uwezo binafsi wa kuratibu mambo hata la Saba kina msukuma wanafanya vizuri sana. Kingine mtazamo wa wasomi wetu mnawaza maslahi makubwa sasa tuwape utendaji wa vijiji nyie wenye shahada ili mkavifilisi? Hapana! Acha tuajiri hao astahahada ambao wataridhika na kinacholipwa. Wenye shahada kazi zenu kuanzia ngazi ya kata.Kinachokwepwa hapo ni wage bill ndugu, wanaona wakiajiri certificate watawalipa mshahara mdogo na hivyo kubana fungu la mishahara, wakati kiuhalisia kwa nafasi yoyote ile ya kiutumishi sifa standard ni ngazi ya elimu kwa kiwango cha shahada.
Hao wenye certificate na diploma wanabaki kuwa wasaidizi tu, huwezi kuwachukulia kama ndo watendaji wanaotakiwa kufanya final decisions.
Ukiona kiongozi anaanza kuegemea machifu ujue elimu na utaalamu hauna nafasi tena zaidi ya ndumba.
[emoji23]Sijui itakuwa shahada ya utendaji wa kijiji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na elimu yako ya la saba hili ndo umeona la maana kuchangia!Katika huo utendaji wa kijiji, degree Wala Haina chake na hausomewi, kinachotakiwa mtu uwe na uwezo binafsi wa kuratibu mambo hata la Saba kina msukuma wanafanya vizuri sana. Kingine mtazamo wa wasomi wetu mnawaza maslahi makubwa sasa tuwape utendaji wa vijiji nyie wenye shahada ili mkavifilisi? Hapana! Acha tuajiri hao astahahada ambao wataridhika na kinacholipwa. Wenye shahada kazi zenu kuanzia ngazi ya kata.