Ajira za uvuvi kwa wahitimu wa aquaculture

Ajira za uvuvi kwa wahitimu wa aquaculture

Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi

Ukisikia Afisa...... msaidizi maana yake ni ajira level ya diploma.

Kwa msingi wa swali lako inamaana ukisoma aquaculture level ya diploma unakuwa na sifa ya kuajiriwa ngazi ya afisa Uvuvi msaidizi, ukisoma degree unakuwa Afisa...daraja la II
 
Back
Top Bottom