A Aisha abdallah New Member Joined Jan 30, 2021 Posts 1 Reaction score 1 Feb 27, 2021 #1 Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,321 Reaction score 18,574 Feb 27, 2021 #2 Aisha abdallah said: Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi Click to expand... Ukisikia Afisa...... msaidizi maana yake ni ajira level ya diploma. Kwa msingi wa swali lako inamaana ukisoma aquaculture level ya diploma unakuwa na sifa ya kuajiriwa ngazi ya afisa Uvuvi msaidizi, ukisoma degree unakuwa Afisa...daraja la II
Aisha abdallah said: Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi Click to expand... Ukisikia Afisa...... msaidizi maana yake ni ajira level ya diploma. Kwa msingi wa swali lako inamaana ukisoma aquaculture level ya diploma unakuwa na sifa ya kuajiriwa ngazi ya afisa Uvuvi msaidizi, ukisoma degree unakuwa Afisa...daraja la II
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Mar 3, 2021 #3 NDIO...WEKA CV ZAKO VIZURI TU