Ajira za waalimu awamu ya pili zimetoka.

Ajira za waalimu awamu ya pili zimetoka.

oldonyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
549
Reaction score
86
Kwa wale waalimu ambao majina yao hayakutokea katika awamu ya kwanza wizara imetoa ajira nyingine awamu ya pili.tembelea hapa utaona www.moe.go.tz
 
napenda kufahamu jinsi ya kupata information na post zetu waalimu.
 
Back
Top Bottom