Subiri 2025 mkuu ataachia ajira zaidi ya 1000000 mkuuWana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka.Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba.lakini ilikuwa ni geresha tuu cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo. Kama ni kweli au laaa. Na kama sio kweli nili watatoa hizo ajira kwa ajili ya waalimu hao au hizo ajira hazipo ndio maaana wako kimya.waseme nilini zinatarajia kutoka
Yaaani raisi azungumzie mambo hayo?! Wamejazwa Necta TISS NACTE NIDA JW NA PT KWENYE HIZO SELECTIO N WAMEGEUKA NDIO WAOMBAJI WAKUU WA RUSHWA NA KUJAZA WATU WANAOWAFAHAMURais anahutubia bunge Leo
Atafafanua, keep in touch mkuu