Ajira za wahudumu wa treni ya SGR zilitangazwa wapi?

James_patrick_

Senior Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
102
Reaction score
194
Ajira za kuwapata hawa wafanyakazi wa sgr zilitangazwa wapi jaman?tuna dada zetu mavyeti yanaoza ndani..utani huo mnaleta.

 
Hao ni TRC wana wafanyakazi wao wa miaka mingi toka kwenye train nyingine, so wamehamishwa tu wale wale
 
Kuna kipindi mwaka juzi kama sijakosea walitangaza nafasi za ajira kwa wapakua mizigo na wahudumu. Zilikuwa karibu nafasi 100+ vijana wakawa wanasema ni nafasi za ukonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…