Ajira za Walimu 10,000

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,743
Reaction score
13,657
Tanzania Kwenu!!!!!!

Nimepanda hili swala la serikali kuajiri walimu 10,000 kabla ya December 2021

Kilichonifurahisha ni kuchukuliwa kwa 20% ya walimu wote kutoka katika maeneo waliyopo (wanakojitolea)

Hii inasaidia sana kupata walimu wanaojua mazingira lakini itasaidia walimu walioko mitihani kutokukaa bure badala ya kwenda kuongeza tija ya kutoa Elimu

Hongera Ummy kazi nzuri

For more please visit: /
 
[emoji23][emoji23]Yani hii serikali kila siku inatangaza itawapa kipaumbele wanaojitolea ,Chaajabu baada ya majina kutoka utasikia kigezo kilichotumika Ni kipaumbele kwa wenye umri mkubwa na walimu wa physics na hesabu apo ndo hapo huwa nguvu zinaishia.Nabaki tu nawacheki wanaojitolea
 

Hizi ajira Ni kabla ya December 2021 au December 2022 ?wizara ituweke wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…