Ajira za walimu 2014

Obeid Mathias

New Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Jaman mm n mwalimu mtarajiwa niliyemaliza chuo mwaka 2013 mei. Nauliya ajira zitatoka lini?
 
Kuwa na subira tu Mulugo aliondoka na flash disk yenye majina yenu, tumeagiza mtu amfuate songwe akiileta tuna upload hata kesho kutwa. Ikipotea itabidi tuanze upya kupanga. Pia yakiwa yameliwa virus/trojen horse itabidi yapangwe upya. Hazina hapakuwa na fungu ndicho kitu kilicho kuwa kinachelewesha pia.
 
hopeless comment...
 
Ajira ni kesho saa nane kamili mchana zitatangazwa .

Hii ahadi isoptekelezwa, jiandae kutukanwa. Jana kuna vijana wawili wamshambulia Mh. Kawambwa humu, hata nikamwonea huruma. Jiandae kuvumilia, vijana wengi wa sasa wanao wehu kichwani.
 
Nilikuwa na mtu wa tamisemi muda si mrefu kasema next week wataweka kwa mtandao
 
aisee hawa jamaa(wizara) wanachosha, wengine tunashindwa kuweka mkataba huku private
 
kuna siku ulisema tarehe 15,leo unasema kesho! Acha kuwachuza wenzio wewe! Khaa!
Wewe ni mwalimu najua una njaa sana !
Kwa tarifa yako ni kwamba,
Ajira za walimu zitatoka tar. 15.7.2015.
Ole wenu wavivu mnao subiri ajira.
 
Wewe ni mwalimu najua una njaa sana !
Kwa tarifa yako ni kwamba,
Ajira za walimu zitatoka tar. 15.7.2015.
Ole wenu wavivu mnao subiri ajira.

wewe ni zaidi ya mzigo kama ndio kufikiri kwako huku
 
Tafuta ishu za kufanya wakati unasubiri post
wizara ya elimu haina calender siku mulugo akishiba maandazi atatangaza..!
 

wengine kweli mnachekesha humu ndani !
 
Wewe ni mwalimu najua una njaa sana !
Kwa tarifa yako ni kwamba,
Ajira za walimu zitatoka tar. 15.7.2015.
Ole wenu wavivu mnao subiri ajira.

kwenda zako ! Kwakuwa wewe unanjaa basi unazani kila mtu aliyepo hapa ananjaa kama wewe!! Ona unavyojihidhirishia umburula! Usamehewe bure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…