Ajira za walimu 2014

kiye

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
117
Reaction score
25
Jamani msaada, Nimeshindwa kupokelewa katika halimashauri fulani (jina nalihifadhi) kisa sina transcript nami nina provisional results ambayo ina matokeo yoote mpaka Overall GPA.

Wakati halmashauri nyingine zinachukua hata wenye carry over. Jamani nichukue hatua gani nami nahitaji kazi?
 
nenda tamisemi na document zako zote. Ila hapo halmashauri waambie wakuandikie barua inayokutaka uwe na academic transcript ndipo wakupokee. Hiyo barua nenda nayo pia tamisemi. Utanipa majibu ndani ya saa chache ukishatekeleza hayo.
 
fanya alivyokwambia mpili.. NA USIWE LEGEKEGE UWE MKALI ..mnakuwaga wapole sana
 
ila kiutaratibu si unatakiwa uwe na transcript??
 
Wanasumbua sana aisee, kikubwa fuatilia hiyo transicript.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…