Ajira za walimu coming soon!!!!!

MUFINDI BOY

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
241
Reaction score
59
wizara hata ingeandikaga hivo ingekuwa bora, but kila nikichek MOE nakuta news zilezile za mwaka jana had nalose hop waungwana tetesi za mitaani nazo magumashi lol!
 
Dah! Pole mufindi Boy, naona unachungulia www.moe.go.tz kama watoto wanavyomsubiri mama yao jioni kutoka sokoni, aliahidi maandazi, wali, ...
 
Last edited by a moderator:
Hili suala la ajira ni balaa, waalim wanauhakika wa kuajiriwa na serikali hali inakuwa hivi, sipatii picha kwa wale wenzangu wanaojitafutia kazi kila siku maofisini..................
 
Dah! Pole mufindi Boy, naona unachungulia www.moe.go.ta kama watoto wanavyomsubiri mama yao jioni kutoka sokoni, aliahidi maandazi, wali, ...

dah thanx broh, bora web yao hata ingekuwa bze nngejua labda wanatupia ila kwa hii hali inaonesha bado wapowapo saaaaana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…