acha ubishi wewe tafuta waraka wa mishahara ya watumishi wa serikali uliotolewa mwaka huu.....
mwalimu mwenye diploma anaanza na ngazi ya mshahara TGTS B1 na wa cheti TGTS A1
huo ubishi wenu mngeleta hapa huo waraka tungejua nani yuko kweli!!
mi wala sijui!!!ndo maana nikasema ulete huo waraka tuuone!!!Je mwenye Bachelor mshahara wake unaanzia sh ngapi kwa waraka wa julai? Naomba majibu.
Anuary ulisema post zinatoka leo vp tena mbona siku kama vile inakwisha