Basic 277,000 take home 236,000 hizi zote pesa za kibongo. post ni kati ya tarehe 5 na 15 January.
Hatimaye rais kathibitisha mwezi huu walimu 28746 kuajiliwa,hapo vp.
mwalimu wa degree basic salary 534,000/=, ,DIPLOMA BASIC SALARY 380,000/=
Zinatoka kati ya Tarehe 5-15 January kwa hiyo vuta subra
mbona leo 16,lakini hola? au data hizi huwa mnazipata wapi?
tuwekeen iyo sheet ya viwango vya mshahara ili ubishi uisheeeeeeeeeeeeee wadau jaman
wamejaribu kutaja wanalotakiwa ni ku uploud sht mzima aise