Ajira za walimu, kawambwa anena

Ajira za walimu, kawambwa anena

Kumbe hata ualimu dili eeh?...sasa kwanini watu wengi huponda sana fani hii...
 
huyu anaenda na muda tupia ndugu kwa fb na tweeter ndo mpango mzima huo sasa hivi ni mobile gvt
 
mkwanja wote umepelekwa dom mjengon kwa waheshimiwa..tena bdo wanaendelea kulia nenge a.k.a njaa!
 
Jaman walimu mie naomba kufaham nina mdogo wangu nae anataka akasomee ualim sasa mwakan wanachukua mtu mwenye daraja gan? Ngaz ya cheti
 
Back
Top Bottom