Ajira za walimu, kawambwa anena

Ajira za walimu, kawambwa anena

Joined
Feb 12, 2014
Posts
6
Reaction score
0
AJIRA MPYA ZA WALIMU.
"Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI itatangaza ajira mpya za walimu. TAMISEMI wameshakamilisha kupanga ajira mpya na Wizara ya Elimu imeshirikiana nao. Kinachosubiriwa ni HAZINA kupeleka fedha katika kila Halmashauri. Tunalifatilia jambo hilo usiku na mchana. Tutakamilisha si muda mrefu - lengo Wizara husika yaani TAMISEMI itangaze mwisho wa mwezi huu au mwanzoni Machi. Tunaomba subira, tunaelewa unyonge mnaopata."-WAZIRI WA ELIMU,MHE. SHUKURU KAWAMBWA

SOURCE-TEMBELEA UKURASA WAKE WA FB
 
Hata mi nilimuuliza na iwe kweli asitupige changa la macho
 
Nashukuru kwa taarifa za matumaini ila hiyo si kauli ya kiofisi maana ni facebook wall.
Ila atleast jamaa nnamuamini.
 
Hakuna kitu hiyo aisee hizo ni porojo tuu!!na hakuna taarifa hiyo kwenye wall ya original ya kawambwa,maticha endeleen kuvuta subura hadi mwezi april achaneni na uongo huo.
 
Huyo si mhuska n mzush mh anatumia username Shukuru j Kawambwa ndan ya fb kuna akna shukuru kawambwa 4 jarbun kusearch
 
Huyo si mhuska n mzush mh anatumia username Shukuru j Kawambwa ndan ya fb kuna akna shukuru kawambwa 4 jarbun kusearch
 
Kawambwa anatamani kuwa kijanaaa! Habari za ofisi anatupia kwenye 'PERSONAL PROFILE' Fyuuuuuuuuuuuuuuuuuu.... SERIKALI NI NDULI
 
Huyo si mhuska n mzush mh anatumia username Shukuru j Kawambwa ndan ya fb kuna akna shukuru kawambwa 4 jarbun kusearch

kuna page na personal account,,, hii taarifa ipo kwenye page sio timeline.. so pengine taarifa ni sahihi..na kuna dc mmoja ameshare iyo status.. pia unaweza kupitia post za nyuma kwenye hiyo page..
 
dah walimu 2mechoka kabla hata ya kuanza kaz kwel mtaani ni maisha tosha.
 
Kwanini wasitangaze kwanza then mpaka wakati waalimu tunasubiri kuripoti ndio wao pia wawe wanaendelea na michakato yao ya hazina??

Wangefanya lamaana kwanza watu tujue vituo vyetu vya kazi then mpaka unaripoti unakuta hela yako washakamilisha kukuwekea.
 
kweli shukuru tumechoka fanya kutupanga then hzo hela zje nyuma wazazi wabahsi tulfeli embu shukuru fanya la maana nakushi kwa rehema ya ki-mungu
 
Ajira Zitatoka Kama Yalivyotoka Matokeo Ya Form 4 Kwn Waliongea Xana Mwisho Necta Ikamaliza Utata! Xo Tusiamini Kila Kitu Ndg.
 
Ajira Zitatoka Kama Yalivyotoka Matokeo Ya Form 4 Kwn Waliongea Xana Mwisho Necta Ikamaliza Utata! Xo Tusiamini Kila Kitu Ndg.

Hizo "x" badala ya "s" unamaana gani maana hakuna ulicho save ndugu, be proper.
 
Back
Top Bottom